Lengo la JumuiyaJDF ina lengo la kusaidia na kuwezesha makundi yote kiuchumi na kijamii ndani ya Zanzibar – Unguja na Pemba, ikilenga wanawake na vijana, watoto, wazee na makundi ya watu wanaoishi katika mazingira magumu.